Dei Group International Ltd imezindua mtandao wa kijamii
utakaokuwa unatoa taarifa mbalimbali kuhusiana Na mambo ya kiutalii ili
kukuza Na kuilinda sekta ya Utalii.
Mtandao
huo utakaofahamika Deiplaces Tanzania utakua ukitoa taarifa mbali mbali
za Utalii ili kuongeza watalii wa ndani Na nje ya nchi kwani kupitia
mtandao huo watu mbali mbali wataweza kuona maeneo ya kitalii yaliyopo
sehemu tofauti tofauti Na hatimaye kutembelea.
Haya
yamesemwa na mkurugenzi wa masoko wa Deiplace Dr.Paul Bamutaze ambapo
ameondeza kwa kusema kuwa mtandao huu utatoa fursa kwa waandishi wa
habari kupata habari mbali mbali za kiutalii hivyo amewataka watanzania
kuungamkono masuala yote ya kitalii.
Aidha
Dr.Bamutaze ameongeza kwa kusema wameamua kuiunga mkono Tanzania katika
suala Utalii kwakuwa serikali ya imeamua kujikita katika sekta ya
Utalii k
kwakuwa imechangia kukua kwa pato 12.9%kwa
takwimu hiyo inaonesha ni jinsi gani inavofanya vizuri na wanaimani
ikiungwa mkono kwa kuitangaza zaidi wanaamini pato la Taifa la Tanzania
litaongezeka maradufu.
No comments:
Post a Comment