
Akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kutembelea chuo hiko, Prof. Ndalichako amesema wamegundua kuwa mnunuzi huyo alikuwa akifanya manunuzi kwa matumizi mabaya ya fedha za umma na sio wa kutenda haki.
Prof. Ndalichako ameendelea kuelezea kuwa kitengo cha manunuzi kinatakiwa kishindanishe watu tofauti, na yeye alikuwa akitumia kampuni 3 zenye majina tofauti ambazo zimekuja kugundulika ni zake
No comments:
Post a Comment