• Breaking News

    ..

    ..

    Thursday, 25 January 2018

    WATAALAMU WA UJENZI NA UCHUKUZI SMT NA SMZ WAKUTANA KUBORESHA SEKTA HIYO

    ????????????????????????????????????
    Mkurugenzi wa Sera na Mipango Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Bi. Elizabeth Tagora akifungua rasmi kikao cha ushirikiano na uboreshaji masuala ya sekta ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kati ya Serikali yaJ amhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar leo jijini Dar es Salaam.
    2
    Mkurugenzi wa Sera na Mipango Wizara yaUjenzi, Uchukuzi na Usafirishaji Serikali ya Mapinduzi  Zanzibar, Bw. Khatib Mohamed akifafanua jambo katika kikao cha ushirikiano na uboreshaji masuala ya sekta ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar leoj ijini Dar es Salaam.
    ????????????????????????????????????
    Mkurugenzi Msaidizi wa Barabara Kuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Eng. Light Chobya akielezea majukumu ya idara hiyo katika kikao cha ushirikiano na uboreshaji masuala ya sekta ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar leo jijini Dar es Salaam.
    3
    Baadhi ya wajumbe wa kikao cha ushirikiano na uboreshaji masuala ya sekta ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kutoka Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakifuatilia mjadala kuhusu uboreshaji wa sekta hiyo jijini Dar es Salaam.
    4
    Kaimu Msajili wa Bodi ya Wahandisi Tanzania (ERB), Eng. Patrick Barozi akiwasilisha madaku husu utendaji wa Bodi hiyo katika kikao cha ushirikiano na uboreshaji masuala ya sekta yaUjenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar leo jijini Dar es Salaam.
    5 6
    Wajumbe wa kikaocha ushirikiano na uboreshaji masuala ya sekta yaUjenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumalizika kwa kikao hicho kilichofanyika leo jijini Dar es Salaam.

    No comments:

    Post a Comment

    HABARI

    HABARI

    MICHEZO

    LOGO

    LOGO

    MAOJIANO

    BURUDANI