Z4 MEDIA 23:02 Wafanyakazi wa kiwanda cha Darbrew cha jijini Dar es Salaam, (kinachozalisha kinywaji cha Chibuku ) wakimsikiliza kwa makini Meneja... Read more No comments:
Burudani Rayvanny azitaja kolabo zake zilizokuwa tayari Z4 MEDIA 22:59Msanii Rayvanny ametaja kolabo zake na wasanii wa nje ambazo zipo tayari. Muimbaji huyo, ambaye yupo nchini Sweden kwa ziara yake ya muz... Read more No comments:
Habari Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema amewaagiza madereva wa daladala na bajaji kuhakikisha vyombo vyao vya usafiri vinakuwa na kikapu cha kuwekea taka, Z4 MEDIA 22:56 Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema amewaagiza madereva wa daladala na bajaji kuhakikisha vyombo vyao vya usafiri vinakuwa na kikapu cha... Read more No comments:
Habari KUHUSU ZOEZI LA USAFI OFISI KUU BUGURUNI KESHO TAREHE 30/4/2017: Z4 MEDIA 11:50 Jana Tarehe 28/4/2017 Tumepokea barua kutoka Jeshi la Polisi Wilaya ya Buguruni yenye Kumb: BUG/SO.7/2/VOL.II/122 ya Tarehe 27/4/2017 ikis... Read more No comments:
Mahojiano Tumia dawa hizi kutibu tatizo la kupata choo Z4 MEDIA 09:07 Kama kuna jambo unapaswa uliepuke kwa nguvu zote basi ni hili. Kwa afya bora kabisa hakikisha unapata choo kila siku mara 2 hata mara 3. ... Read more No comments:
Habari WAZIRI MHAGAMA AKUTANA NA UONGOZI WA SHIVYAWATA - DODOMA Z4 MEDIA 09:03 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akisalimiana na Mwenyekiti wa Shirikish... Read more No comments:
Michezo Mjumbe wa Yanga agomea wito wa TFF Z4 MEDIA 08:57 Baada ya Bodi ya Ligi Tanzania (TPLB) kumshitaki kwa Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Mjumbe wa Kamati ya Uten... Read more No comments:
Habari Wabunge watakiwa kujisalimisha HESLB Z4 MEDIA 08:55 WABUNGE walionufaika na mikopo iliyotolewa na Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) kuanzia mwaka 1994 wametakiwa kujisal... Read more No comments:
Habari Simu aina ya smartphone kudhibiti kisukari Z4 MEDIA 08:54 Simu aina ya smartphone Simu moja aina ya smartphone imechukuwa jukumu muhimu katika majaribio ambayo huenda yakawasaidia mamilioni y... Read more No comments:
Habari Rais Magufuli atoa onyo kwa makampuni ya simu nchini Z4 MEDIA 08:52Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli ametahadharisha kuwa, wapo mbioni kuhakikisha mapato ya serikali yanadhib... Read more No comments:
Habari Soko la mbao Shinyanga lateketea kwa moto Z4 MEDIA 08:51 MABANDA 13 yanayouza mbao katika soko la Kambarage mjini Shinyanga yameteketea kwa moto na kusababisha hasara ya mamilioni ya fedha kwa ... Read more No comments:
Habari Vyeti Feki, ngoma bado mbichi – Prof. Ndalichako Z4 MEDIA 08:48Waziri wa Elimu,Sayansi,Teknolojia na Ufundi, Prof. Joyce Ndalichako amesema kwamba suala la uhakiki wa vyeti feki nchini tangu Tanzania i... Read more No comments:
Habari Waziri Mahiga apata mafanikio haya katika ziara ya kikazi Z4 MEDIA 08:47 Mhe. Balozi Dkt. Augustine Philip Mahiga (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania, alifanya ziara ya ... Read more No comments:
Habari Karata yangu ni kwa Anthony Joshua- Mike Tyson Z4 MEDIA 08:46Kabla ya Dunia kusimama kwa muda hii leo kupisha Mpambano wa kusisimua wa Mchezo wa Masumbwi Duniani, Legendari wa Mchezo huo Mike Tyson, ... Read more No comments:
Habari Taarifa za mvua kubwa kutoka mamlaka ya hali ya hewa (TMA) Z4 MEDIA 08:44Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) imetoa tahadhari kwa umma kuhusu vipindi vya mvua kubwa vinavyoambatana na upepo mkali na mawimbi makubwa ka... Read more No comments:
Habari Hapa Kazi Tu, mapenzi baadaye – Ray C Z4 MEDIA 08:42Msanii mkongwe wa muziki, Ray C, amedai kwa sasa anapambana kuhakikisha anafanya vizuri katika muziki wake. Muimbaji huyo ambaye aliwahi... Read more No comments:
Habari RC NCHIMBI AZIAGIZA HALMASHAURI ZA SINGIDA KUANZISHA MABWAWA YA UFUGAJI WA SAMAKI. Z4 MEDIA 08:01 Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi (wa pili kulia) akishiriki kuvua samaki aina ya kambare kwen... Read more No comments:
Mahojiano Mitindo: Namna ya kupatia vazi la ripped jeans Z4 MEDIA 07:59Suruali za jeans ndizo suruali pekee ambazo huvaliwa zaidi na kupendwa na watu wengi duniani. Tukizungumzia jeans kwa kipindi hiki basi... Read more No comments:
MITANDAO YA KIJAMII
MAONI